bible.software › Luke › Luke 8 › Luke 8:46
Luke 8:46
Lakini Yesu akasema, “Kuna mtu aliyenigusa, kwa maana nimetambua kuwa nguvu zimenitoka.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesus said, Somebody hath touched me: for I perceive that virtue is gone out of me.
In Context
45Yesu akauliza, “Ni nani aliyenigusa?” Watu wote walipokana, Petro akasema, “Bwana, huu umati wa watu unakusonga na kukusukuma kila upande.”
47Yule mwanamke alipofahamu ya kuwa hawezi kuendelea kujificha, alikuja akitetemeka, akaanguka miguuni mwa Yesu. Akaeleza mbele ya watu wote kwa nini alimgusa na jinsi alivyoponywa mara.
Read all of Luke 8
Cross References
Luke 6:19Watu wote walikuwa wanajitahidi kumgusa kwa sababu nguvu zilikuwa zikimtoka na kuwaponya wote. 1 Baraka Na Ole (Mathayo 5:1-12)
This Verse In Other Editions
Study Luke 8:46