Luka 8:7
Nazo mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, nayo ile miiba ikakua pamoja nazo, na kuisonga hiyo mimea.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And some fell among thorns; and the thorns sprang up with it, and choked it.
In Context
6Mbegu nyingine zilianguka penye miamba, nazo zilipoota, hiyo mimea ikakauka kwa kukosa unyevu.
Cross References
Jeremiah 4:3Hili ndilo asemalo Bwana kwa watu wa Yuda na kwa Yerusalemu: 1 “Vunjeni mabonge kwenye mashamba yenu, 2 wala msipande katikati ya miiba. 1
Matthew 13:22Ile mbegu iliyopandwa katika miiba ni yule mtu alisikiaye neno, lakini masumbufu ya maisha haya na udanganyifu wa mali hulisonga lile neno na kulifanya lisizae matunda.
Mark 4:18Lakini wengine, kama mbegu iliyopandwa kwenye miiba, hulisikia lile neno;
Luke 21:34“Jihadharini mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na fadhaa za maisha haya, nayo siku ile ikawakuta ninyi bila kutazamia kama vile mtego unasavyo.