Malachi 1:11
Jina langu litakuwa kuu miongoni mwa mataifa, kuanzia mawio ya jua hata machweo yake. Kila mahali uvumba na sadaka safi zitaletwa kwa Jina langu, kwa sababu Jina langu litakuwa kuu miongoni mwa mataifa,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 22:27Miisho yote ya dunia itakumbuka 2 na kumgeukia Bwana, 1 nazo jamaa zote za mataifa 2 watasujudu mbele zake, 1
Psalms 50:1Mwenye Nguvu, Mungu, Bwana, 2 asema na kuiita dunia, 1 tangu mawio ya jua 2 hadi mahali pake liendapo kutua. 1
Psalms 67:2ili njia zako zijulikane duniani, 2 wokovu wako katikati ya mataifa yote. 1
Psalms 86:9Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya 2 yatakuja na kuabudu mbele zako; 2 wataliletea utukufu jina lako. 1
Psalms 98:1Mwimbieni Bwana wimbo mpya, 2 kwa maana ametenda mambo ya ajabu; 1 kitanga chake cha kuume na mkono wake mtakatifu 2 umemfanyia wokovu. 1
Psalms 138:5Wao na waimbe kuhusu njia za Bwana, 2 kwa maana utukufu wa Bwana ni mkuu. 1