Mark 1:3
“sauti ya mtu aliaye nyikani. 1 ‘Itengenezeni njia ya Bwana, 2 yanyoosheni mapito yake.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The voice of one crying in the wilderness, Prepare ye the way of the Lord, make his paths straight.
In Context
4Yohana alikuja, akibatiza huko nyikani, akihubiri ubatizo wa toba kwa ajili ya msamaha wa dhambi.
Cross References
Isaiah 40:3Sauti ya mtu aliaye: 2 “Itengenezeni jangwani njia ya Bwana, 1 nyoosheni njia kuu nyikani 2 kwa ajili ya Mungu wetu. 1
Luke 3:4Kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: 1 “Sauti ya mtu aliaye nyikani, 1 ‘Itengenezeni njia ya Bwana, 2 yanyoosheni mapito yake. 1
John 1:19Huu ndio ushuhuda wa Yohana wakati Wayahudi walipowatuma makuhani na Walawi kutoka Yerusalemu kumuuliza, “Wewe ni nani?”