Marko 10:4
Wakajibu, “Mose aliruhusu kwamba mume anaweza kumwandikia mkewe hati ya talaka na kumwacha.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they said, Moses suffered to write a bill of divorcement, and to put her away.
In Context
3Yesu akawajibu, “Je, Mose aliwaamuru nini?”
5Yesu akawaambia, “Mose aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.
Cross References
Deuteronomy 24:1Ikiwa mtu atamwoa mke na akamchukia kwa sababu ya kukosa adabu, naye akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza kutoka nyumbani kwake,
Jeremiah 3:1“Kama mtu akimpa talaka mkewe, 2 naye akamwacha na akaolewa na mtu mwingine, 1 je, huyo mume aweza kumrudia tena? 2 Je, hiyo nchi haitanajisika kabisa? 1 Lakini umeishi kama kahaba na wapenzi wengi: 2 je, sasa utanirudia tena?” 4 asema Bwana. 1
Matthew 5:31“Pia ilinenwa kwamba, ‘Mtu yeyote amwachaye mkewe sharti ampe hati ya talaka.’