bible.software › Mark › Mark 10 › Mark 10:44
Mark 10:44
na yeyote anayetaka kuwa wa kwanza, hana budi kuwa mtumwa wa wote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And whosoever of you will be the chiefest, shall be servant of all.
In Context
43Lakini isiwe hivyo kwenu. Badala yake, yeyote anayetaka kuwa mkuu miongoni mwenu hana budi kuwa mtumishi wenu,
45Kwa kuwa hata Mwana wa Adamu hakuja ili kutumikiwa, bali kutumika na kuutoa uhai wake uwe fidia kwa ajili ya wengi.” 1 Yesu Amponya Kipofu Bartimayo (Mathayo 20:29-34; Luka 18:35-43)
Read all of Mark 10
Cross References
Philippians 2:7bali alijifanya si kitu, 2 akachukua hali hasa na mtumwa, 2 naye akazaliwa katika umbo la mwanadamu. 1
This Verse In Other Editions
Study Mark 10:44