Mark 11:12
Kesho yake walipokuwa wakitoka Bethania, Yesu alikuwa na njaa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And on the morrow, when they were come from Bethany, he was hungry:
In Context
Cross References
Matthew 4:2Baada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa.
Luke 4:2mahali ambako kwa siku arobaini alikuwa akijaribiwa na ibilisi. Kwa siku zote hizo hakula chochote, hivyo baada ya muda huo akaona njaa.
John 4:31Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wakimsihi, “Rabi, kula angalau chochote.”
Hebrews 2:17Kwa sababu hii ilibidi afanane na ndugu zake kwa kila hali, ili apate kuwa Kuhani Mkuu mwenye huruma na mwaminifu katika kumtumikia Mungu, ili pia apate kufanya upatanisho kwa ajili ya dhambi za watu.