Mark 11:20
Asubuhi yake walipokuwa wakipita, wakauona ule mtini umenyauka kutoka juu hadi kwenye mizizi yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And in the morning, as they passed by, they saw the fig tree dried up from the roots.
In Context
19Ilipofika jioni, Yesu na wanafunzi wake wakatoka nje ya mji. 1 Mtini Ulionyauka (Mathayo 21:20-22)
21Petro akakumbuka na kumwambia Yesu, “Rabi, tazama! Ule mtini ulioulaani umenyauka!”
Cross References
Job 8:17huifunganisha mizizi yake kwenye lundo la mawe, 2 na kutafuta nafasi katikati ya mawe. 1
Job 20:5macheko ya mtu mwovu ni ya muda mfupi, 2 nayo furaha ya wasiomcha Mungu hudumu kwa kitambo tu. 1
Isaiah 40:24Mara baada ya kupandwa, 2 mara baada ya kutiwa ardhini, 2 mara baada ya kutoa mizizi yao ardhini, 1 ndipo huwapulizia nao wakanyauka, 2 nao upepo wa kisulisuli 2 huwapeperusha kama makapi. 1
Matthew 15:13Akawajibu, “Kila pando ambalo Baba yangu wa mbinguni hakulipanda, litangʼolewa.
Mark 11:14Akauambia ule mti, “Tangu leo mtu yeyote asile kamwe matunda kutoka kwako.” Wanafunzi wake walimsikia akisema hayo. 1 Yesu Atakasa Hekalu (Mathayo 21:12-17; Luka 19:45-48; Yohana 2:13-22)
Hebrews 6:8Lakini ardhi ikizaa miiba na mibaruti, haina thamani na iko hatarini ya kulaaniwa. Mwisho wake ni kuchomwa moto.