Mark 11:33
Kwa hiyo wakamjibu Yesu, “Hatujui.” Naye Yesu akawaambia, “Wala mimi sitawaambia ni kwa mamlaka gani ninatenda mambo haya.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 26:4Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, 2 ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye. 1
Isaiah 6:9Akasema, “Nenda ukawaambie watu hawa: 1 “ ‘Mtaendelea daima kusikiliza, 2 lakini kamwe hamtaelewa; 1 mtaendelea daima kutazama, 2 lakini kamwe hamtatambua.’ 1
Isaiah 42:19Ni nani aliye kipofu isipokuwa mtumishi wangu, 2 na kiziwi kama mjumbe ninayemtuma? 1 Ni nani aliye kipofu kama yeye aliyejitoa kwangu, 2 aliye kipofu kama mtumishi wa Bwana? 1
Jeremiah 8:7Hata korongo aliyeko angani 2 anayajua majira yake yaliyoamriwa, 1 nao njiwa, mbayuwayu na koikoi 2 hufuata majira yao ya kurudi. 1 Lakini watu wangu hawajui 2 Bwana anachotaka kwao. 1
Malachi 2:7“Kwa maana yapasa midomo ya kuhani kuhifadhi maarifa. Tena kutoka kinywani mwake watu wangepaswa kutafuta mafundisho, kwa sababu yeye ni mjumbe wa Bwana Mwenye Nguvu Zote.
Matthew 16:4Kizazi kiovu na cha uzinzi kinatafuta ishara, lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ishara ya Yona.” Yesu akawaacha, akaenda zake. 1 Chachu Ya Mafarisayo Na Masadukayo (Marko 8:14-21)