Mark 12:1
Yesu akaanza kusema nao kwa mifano, akawaambia: “Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu. Akajenga ukuta kulizunguka, akachimba shimo ndani yake kwa ajili ya shinikizo la kusindika divai, na akajenga mnara wa ulinzi. Kisha akalikodisha shamba hilo la mizabibu kwa wakulima fulani, kisha akasafiri kwenda nchi nyingine.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 78:68lakini alilichagua kabila la Yuda, 2 Mlima Sayuni, ambao aliupenda. 1
Psalms 147:19Amemfunulia Yakobo neno lake, 2 sheria zake na maagizo yake kwa Israeli. 1
Isaiah 5:1Nitaimba wimbo kwa ajili ya mmoja nimpendaye, 2 kuhusu shamba lake la mizabibu: 1 Mpendwa wangu alikuwa na shamba la mizabibu 2 kwenye kilima chenye rutuba. 1
Jeremiah 2:21Nilikupanda ukiwa mzabibu ulio bora sana, 2 mkamilifu na wa mbegu nzuri. 1 Ilikuwaje basi ukawa kinyume nami, 2 ukaharibika na kuwa mzabibu mwitu? 1
Ezekiel 20:18Niliwaambia watoto wao kule jangwani, “Msifuate amri za baba zenu wala kushika sheria zao au kujinajisi kwa sanamu zao.
Matthew 13:10Wanafunzi wake wakamwendea, wakamuuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?”