The Bible Software
bible.softwareMarkMark 12 › Mark 12:13

Mark 12:13

Baadaye wakawatuma baadhi ya Mafarisayo na Maherode ili kwenda kumtega Yesu katika yale anayosema.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they send unto him certain of the Pharisees and of the Herodians, to catch him in his words.

In Context

12Walipotambua kuwa amesema mfano huo kwa ajili yao, wakataka kumkamata, lakini wakaogopa ule umati wa watu. Wakamwacha, wakaondoka, wakaenda zao. 1 Swali Kuhusu Kulipa Kodi (Mathayo 22:15-22; Luka 20:20-26)

14Wakamjia, wakamwambia, “Mwalimu, tunajua kwamba wewe ni mtu mwadilifu. Wewe huyumbishwi na wanadamu, kwa kuwa huna upendeleo. Lakini wewe huifundisha njia ya Mungu katika kweli. Je, ni halali kulipa kodi kwa Kaisari, au la?

Read all of Mark 12

Cross References

Psalms 56:5Mchana kutwa wanayageuza maneno yangu, 2 siku zote wanapanga shauri la kunidhuru. 1

Isaiah 29:21wale ambao kwa neno humfanya mtu kuwa mwenye hatia, 2 wamtegeao mtego mtetezi katika mahakama, 1 na kwa ushuhuda wa uongo humnyima haki 2 yeye asiye na hatia.

Matthew 16:6Yesu akawaambia, “Jihadharini. Jilindeni na chachu ya Mafarisayo na ya Masadukayo.”

Mark 3:6Kisha Mafarisayo wakatoka nje, nao wakaanza kufanya shauri la kumuua Yesu wakiwa na Maherode. 1 Umati Wa Watu Wamfuata Yesu

Luke 11:54wakivizia kumkamata kwa kitu atakachosema ili wamshtaki.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 12:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 12:12Mark 12Mark 12:14 →