Mark 12:23
Kwa hiyo wakati wa ufufuo, yeye atakuwa mke wa nani, maana aliolewa na ndugu wote saba?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Hakuna hata mmojawapo wa hao ndugu wote saba aliyeacha mtoto. Hatimaye yule mwanamke naye akafa.
24Yesu akawajibu, “Je, hampotoki kwa sababu hamfahamu Maandiko wala uweza wa Mungu?
Cross References
Psalms 31:23Mpendeni Bwana ninyi watakatifu wake wote! 2 Bwana huwahifadhi waaminifu, 2 lakini wenye kiburi huwalipiza kikamilifu. 1