Mark 12:32
Yule mwalimu wa sheria akamwambia Yesu, “Mwalimu, umejibu vyema kwamba Mungu ni mmoja, wala hakuna mwingine ila yeye.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 4:39Kubalini na mweke moyoni leo kuwa Bwana ndiye Mungu mbinguni juu na duniani chini. Hakuna mwingine.
Deuteronomy 6:4Sikia, ee Israeli: Bwana Mungu wako, Bwana ni mmoja.
Isaiah 45:5Mimi ndimi Bwana, wala hakuna mwingine, 2 zaidi yangu hakuna Mungu. 1 Nitakutia nguvu, 2 ingawa wewe hujanitambua, 1
Isaiah 45:18Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye aliyeumba mbingu, 2 ndiye Mungu; 1 yeye aliyeifanya dunia na kuiumba, 2 yeye ndiye aliiwekea misingi imara, 1 hakuiumba ili iwe tupu, 2 bali aliiumba ikaliwe na viumbe vyake. 1 Anasema: 2 “Mimi ndimi Bwana, 2 wala hakuna mwingine. 1
Isaiah 46:9Kumbukeni mambo yaliyopita, yale ya zamani za kale; 2 mimi ndimi Mungu, wala hakuna mwingine; 1 mimi ndimi Mungu, 2 wala hakuna mwingine aliye kama mimi. 1
Mark 12:29Yesu akajibu, “Amri iliyo kuu ndiyo hii: ‘Sikia ee Israeli. Bwana Mungu wetu, Bwana ndiye mmoja.