Mark 12:42
Lakini mjane mmoja maskini akaja na kuweka sarafu mbili ndogo za shaba zenye thamani ya senti mbili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And there came a certain poor widow, and she threw in two mites, which make a farthing.
In Context
Cross References
Song of Solomon 8:1Laiti ungelikuwa kwangu kama ndugu wa kiume, 2 ambaye aliyanyonya matiti ya mama yangu! 1 Kisha, kama ningekukuta huko nje, 2 ningelikubusu, 2 wala hakuna mtu yeyote angelinidharau. 1
Luke 12:59Nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.”
2 Corinthians 8:2Pamoja na majaribu makali na taabu walizopata, furaha waliyokuwa nayo ilikuwa kubwa, ingawa walikuwa maskini kupindukia, kwa upande wao walifurika kwa wingi wa ukarimu.