Mark 13:17
Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But woe to them that are with child, and to them that give suck in those days!
In Context
16Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake.
18Ombeni mambo haya yasitokee wakati wa baridi.
Cross References
Lamentations 2:19Inuka, lia usiku, 2 zamu za usiku zianzapo; 1 mimina moyo wako kama maji 2 mbele za Bwana. 1 Mwinulie yeye mikono yako 2 kwa ajili ya maisha ya watoto wako, 1 ambao wanazimia kwa njaa 2 kwenye kila mwanzo wa barabara. 1
Lamentations 4:10Kwa mikono yao wenyewe wanawake wenye huruma 2 wanapika watoto wao wenyewe, 1 waliokuwa chakula chao 2 watu wangu walipoangamizwa. 1
Hosea 13:16Watu wa Samaria ni lazima wabebe hatia yao, 2 kwa sababu wameasi dhidi ya Mungu wao. 1 Wataanguka kwa upanga; 2 watoto wao wadogo watatupwa kwa nguvu ardhini, 2 wanawake wao walio na mimba watatumbuliwa.”
Luke 21:23Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo! Kutakuwa na dhiki kuu katika nchi na ghadhabu juu ya hawa watu.