The Bible Software
bible.softwareMarkMark 14 › Mark 14:21

Mark 14:21

Mwana wa Adamu anaenda zake kama vile alivyoandikiwa. Lakini ole wake mtu yule amsalitiye Mwana wa Adamu! Ingekuwa heri kwake mtu huyo kama hangezaliwa.” 1 Kuanzishwa Kwa Meza Ya Bwana (Mathayo 26:26-30; Luka 22:14-20; 1 Wakorintho 11:23-25)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The Son of man indeed goeth, as it is written of him: but woe to that man by whom the Son of man is betrayed! good were it for that man if he had never been born.

In Context

20Akawajibu, “Ni mmoja miongoni mwenu ninyi kumi na wawili, yule anayechovya mkate kwenye bakuli pamoja nami.

22Walipokuwa wanakula, Yesu akachukua mkate, akashukuru, akaumega na kuwapa wanafunzi wake, akisema, “Twaeni mle; huu ndio mwili wangu.”

Read all of Mark 14

Cross References

Genesis 3:15Nami nitaweka uadui 2 kati yako na huyo mwanamke, 2 na kati ya uzao wako na wake, 1 yeye atakuponda kichwa, 2 nawe utamuuma kisigino.”

Psalms 55:15Kifo na kiwajie adui zangu ghafula, 2 na washuke kuzimu wangali hai, 2 kwa maana uovu upo ndani yao. 1

Psalms 109:6Agiza mtu mwovu ampinge, 2 mshtaki + 109:6 Mshtaki hapa maana yake ni Shetani. asimame mkono wake wa kuume. 1

Isaiah 53:1Ni nani aliyeamini ujumbe wetu, 2 na mkono wa Bwana umefunuliwa kwa nani? 1

Daniel 9:26Baada ya majuma sitini na mawili, Mpakwa Mafuta atakatiliwa mbali, wala hatabaki na kitu. Watu wa mtawala atakayekuja watauharibu mji pamoja na mahali patakatifu. Mwisho utakuja kama mafuriko: Vita vitaendelea mpaka mwisho, nao ukiwa umeamriwa.

Matthew 18:6Lakini kama mtu yeyote akimsababisha mmojawapo wa hawa wadogo wanaoniamini kutenda dhambi, ingekuwa bora kwake afungiwe jiwe kubwa la kusagia shingoni mwake, na kutoswa katika kilindi cha bahari. 1 Kujaribiwa Ili Kutenda Dhambi (Marko 9:42-48; Luka 17:1-2)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 14:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 14:20Mark 14Mark 14:22 →