Mark 14:23
Kisha akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, nao wote wakanywa kutoka humo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he took the cup, and when he had given thanks, he gave it to them: and they all drank of it.
In Context
24Akawaambia, “Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi.
Cross References
Matthew 26:27Kisha akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, “Nyweni nyote katika kikombe hiki.
Luke 22:17Akiisha kukichukua kikombe, akashukuru, akasema, “Chukueni hiki mnywe wote.
1 Corinthians 10:16Je, kikombe cha baraka ambacho tunakibariki, si ushirika katika damu ya Kristo? Mkate tuumegao, si ushirika wa mwili wa Kristo?