Mark 14:52
alikimbia uchi, akaliacha vazi lake. 1 Yesu Mbele Ya Baraza La Wayahudi (Mathayo 26:57-68; Luka 22:54-71; Yohana 18:13-24)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he left the linen cloth, and fled from them naked.
In Context
Cross References
Genesis 39:12Mke wa Potifa akashika vazi Yosefu alilokuwa amevaa, akamwambia, “Njoo tukutane kimwili!” Lakini Yosefu akaacha vazi lake mkononi mwa huyo mwanamke, akatoka nje ya nyumba akikimbia.
Mark 13:14“Mtakapoona ‘chukizo la uharibifu’ limesimama mahali pasipolipasa (asomaye na afahamu), basi wale walioko Uyahudi wakimbilie milimani.