Mark 14:56
Wengi walitoa ushahidi wa uongo dhidi yake, lakini maelezo yao hayakukubaliana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For many bare false witness against him, but their witness agreed not together.
In Context
57Ndipo wengine wakasimama wakatoa ushahidi wa uongo dhidi yake, wakisema:
Cross References
1 John 5:8Pia wako mashahidi watatu duniani]: Roho, Maji na Damu; hawa watatu wanakubaliana katika umoja.