Mark 15:22
Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa).
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they bring him unto the place Golgotha, which is, being interpreted, The place of a skull.
In Context
23Nao wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini hakuinywa.
Cross References
Matthew 27:33Wakafika mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa).
John 19:17Yesu, akiwa ameubeba msalaba wake, akatoka kuelekea mahali palipoitwa Fuvu la Kichwa (kwa Kiebrania ni Golgotha).