Mark 15:29
Watu waliokuwa wakipita njiani wakamtukana huku wakitikisa vichwa vyao na kusema, “Aha! Wewe ambaye utalivunja Hekalu na kulijenga kwa siku tatu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Nayo maandiko yakatimizwa, yale yasemayo, “Alihesabiwa pamoja na watenda dhambi.]”
30basi shuka kutoka msalabani na ujiokoe mwenyewe!”
Cross References
Genesis 37:19Wakaambiana, “Yule mwota ndoto anakuja!
Psalms 22:12Mafahali wengi wamenizunguka, 2 mafahali wa Bashani wenye nguvu 2 wamenizingira. 1
Psalms 69:7Kwa maana nimestahimili dharau kwa ajili yako, 2 aibu imefunika uso wangu. 1
Psalms 69:26Kwa kuwa wanawatesa wale uliowajeruhi, 2 na kuzungumza juu ya maumivu ya wale uliowaumiza. 1
Lamentations 1:12“Je, si kitu kwenu, ninyi nyote mpitao kando? 2 Angalieni kote mwone. 1 Je, kuna maumivu kama maumivu yangu 2 yale yaliyotiwa juu yangu, 1 yale Bwana aliyoyaleta juu yangu 2 katika siku ya hasira yake kali? 1
Matthew 26:61na kusema, “Huyu mtu alisema, ‘Ninaweza kulivunja Hekalu la Mungu na kulijenga tena kwa siku tatu.’ ”