Mark 16:13
Nao wakarudi na kuwaambia wenzao. Lakini hawakuwasadiki wao pia. 1 Yesu Awaagiza Wale Wanafunzi Kumi Na Mmoja (Mathayo 28:16-20; Luka 24:36-49; Yohana 20:19-23; Matendo 1:6-8)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they went and told it unto the residue: neither believed they them.
In Context
Cross References
Luke 16:31“Abrahamu akamwambia, ‘Kama wasipowasikiliza Mose na Manabii, hawataweza kushawishika hata kama mtu akifufuka kutoka kwa wafu.’ ”
John 20:8Kisha yule mwanafunzi aliyetangulia kufika kaburini naye akaingia ndani, akaona, akaamini,