bible.software › Mark › Mark 2 › Mark 2:11
Mark 2:11
“Nakuambia, inuka, chukua mkeka wako, uende nyumbani kwako.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I say unto thee, Arise, and take up thy bed, and go thy way into thine house.
In Context
10Lakini ili mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo mamlaka duniani kusamehe dhambi…” Yesu akamwambia yule aliyepooza,
12Yule mtu aliyekuwa amepooza akasimama, akachukua mkeka wake, akatembea machoni pao wote! Jambo hili likawashangaza wote, wakamtukuza Mungu, wakisema, “Hatujapata kuona jambo kama hili kamwe!” 1 Yesu Amwita Lawi (Mathayo 9:9-13; Luka 5:27-32)
Read all of Mark 2
Cross References
John 5:8Yesu akamwambia, “Inuka! Chukua mkeka wako na uende.”
This Verse In Other Editions
Study Mark 2:11