Mark 3:12
Lakini aliwaonya wasimseme yeye ni nani. 1 Yesu Achagua Mitume Kumi Na Wawili (Mathayo 10:1-4; Luka 6:12-16)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he straitly charged them that they should not make him known.
In Context
13Yesu akapanda mlimani na kuwaita wale aliowataka, nao wakamjia.
Cross References
Matthew 12:16akiwakataza wasiseme yeye ni nani.
Mark 1:34Yesu akawaponya watu wengi waliokuwa na magonjwa ya aina mbalimbali. Akawatoa pepo wachafu wengi, lakini hakuwaacha hao pepo wachafu waseme, kwa sababu walimjua yeye ni nani. 1 Yesu Aenda Galilaya (Luka 4:42-44)