Mark 5:10
Akamsihi Yesu sana asiwapeleke nje ya nchi ile.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he besought him much that he would not send them away out of the country.
In Context
11Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe lililokuwa likilisha karibu kando ya kilima.
Cross References
Mark 5:13Basi Yesu akawaruhusu, nao wale pepo wachafu wakatoka, wakawaingia hao nguruwe. Lile kundi lilikuwa na nguruwe wapatao 2,000, nao wote wakateremkia gengeni kwa kasi, nao wakatumbukia ziwani na kuzama.