Mark 5:12
Wale pepo wachafu wakamsihi Yesu wakisema, “Tuamuru twende kwenye wale nguruwe. Turuhusu tuwaingie.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And all the devils besought him, saying, Send us into the swine, that we may enter into them.
In Context
11Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe lililokuwa likilisha karibu kando ya kilima.
Cross References
Job 2:5Lakini nyoosha mkono wako na kuipiga nyama yake na mifupa yake, naye kwa hakika atakulaani mbele za uso wako.”
2 Corinthians 2:11ili Shetani asitushinde. Kwa maana hatuachi kuzijua hila zake. 1 Wasiwasi Wa Paulo Huko Troa