bible.software › Mark › Mark 5 › Mark 5:20
Mark 5:20
Yule mtu akaenda zake, akaanza kutangaza katika Dekapoli mambo makuu Yesu aliyomtendea. Nao watu wote wakastaajabu. 1 Mwanamke Aponywa (Mathayo 9:18-26; Luka 8:40-56)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he departed, and began to publish in Decapolis how great things Jesus had done for him: and all men did marvel.
In Context
19Yesu hakumruhusu, bali alimwambia, “Nenda nyumbani kwa jamaa yako ukawaeleze mambo makuu aliyokutendea Bwana, na jinsi alivyokuhurumia.”
21Yesu alipokwisha kuvuka tena na kufika ngʼambo, umati mkubwa wa watu ukamzunguka yeye akiwa hapo kando ya bahari.
Read all of Mark 5
Cross References
Matthew 4:25Makutano makubwa ya watu yakawa yanamjia kutoka Galilaya, Dekapoli, + 4:25 Yaani Miji Kumi. Yerusalemu, Uyahudi na kutoka ngʼambo ya Mto Yordani.
This Verse In Other Editions
Study Mark 5:20