Mark 5:31
Wanafunzi wake wakamjibu, “Unaona jinsi umati wa watu unavyokusonga. Wawezaje kuuliza, ‘Ni nani aliyenigusa?’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
32Lakini Yesu akaangalia pande zote ili aone ni nani aliyemgusa.
Cross References
Luke 8:45Yesu akauliza, “Ni nani aliyenigusa?” Watu wote walipokana, Petro akasema, “Bwana, huu umati wa watu unakusonga na kukusukuma kila upande.”