Mark 5:7
Akapiga kelele kwa nguvu akisema, “Una nini nami, Yesu, Mwana wa Mungu Aliye Juu Sana? Ninakusihi kwa jina la Mungu, usinitese!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Alipomwona Yesu kwa mbali, alimkimbilia, akapiga magoti mbele yake.
8Kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia, “Mtoke mtu huyu, wewe pepo mchafu!”
Cross References
1 Kings 22:16Mfalme akamwambia, “Je, ni mara ngapi nitakuapisha ili usiniambie kitu chochote ila kweli tu kwa jina la Bwana?”
Matthew 4:3Mjaribu akamjia na kumwambia, “Ikiwa wewe ndiye Mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mikate.”
Matthew 16:16Simoni Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo, + 16:16 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Mwana wa Mungu aliye hai.”
Mark 1:24naye akapiga kelele akisema, “Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninakujua wewe ni nani. Wewe ndiwe Aliye Mtakatifu wa Mungu!”
Mark 14:61Lakini Yesu akakaa kimya, hakusema neno lolote. Kuhani mkuu akamuuliza tena, “Je, wewe ndiwe Kristo, + 14:61 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Mwana wa Mungu Aliyebarikiwa?”
Luke 4:34“Tuache! Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninakujua wewe ni nani. Wewe ndiwe Aliye Mtakatifu wa Mungu!”