Mark 6:24
Yule binti akatoka nje, akaenda kumuuliza mama yake, “Niombe nini?” Mama yake akamjibu, “Omba kichwa cha Yohana Mbatizaji.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 27:8Sasa, mwanangu, nisikilize kwa makini na ufanye yale ninayokuambia:
2 Chronicles 22:3Ahazia naye akaenenda katika njia za nyumba ya Ahabu, kwa sababu mama yake alimshawishi katika kutenda maovu.
Psalms 27:2Waovu watakaposogea dhidi yangu 2 ili wanile nyama yangu, 1 adui zangu na watesi wangu watakaponishambulia, 2 watajikwaa na kuanguka. 1
Psalms 37:14Waovu huchomoa upanga 2 na kupinda upinde, 1 ili wawaangushe maskini na wahitaji, 2 kuwachinja wale ambao njia zao ni nyofu. 1
Ezekiel 19:2na useme: 1 “ ‘Tazama jinsi gani mama yako alivyokuwa simba jike 2 miongoni mwa simba! 1 Alilala katikati ya wana simba 2 na kulisha watoto wake. 1
Acts 23:12Kulipopambazuka Wayahudi wakafanya shauri pamoja na kujifunga kwa kiapo kwamba hawatakula wala kunywa mpaka wawe wamemuua Paulo.