Mark 6:33
Lakini watu wengi waliowaona wakiondoka, wakawatambua, nao wakaenda haraka kwa miguu kutoka miji yote, nao wakatangulia kufika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
32Hivyo wakaondoka kwa mashua peke yao, wakaenda mahali pasipo na watu.
Cross References
Matthew 15:29Yesu akaondoka na kwenda kando ya Bahari ya Galilaya. Kisha akapanda mlimani, akaketi huko.
John 6:2Umati mkubwa wa watu uliendelea kumfuata, kwa sababu waliona ishara nyingi za miujiza alizofanya kwa wagonjwa.