bible.software › Mark › Mark 6 › Mark 6:36
Mark 6:36
Waage watu ili waende mashambani na vijijini jirani, wakajinunulie chakula.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Send them away, that they may go into the country round about, and into the villages, and buy themselves bread: for they have nothing to eat.
In Context
35Mchana ulipokuwa umeendelea sana, wanafunzi wake walienda kwake, wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, nazo saa zimekwenda sana.
37Lakini Yesu akawajibu, “Ninyi wapeni chakula.” Wakamwambia, “Je, twende tukanunue mikate ya dinari 200 + 6:37 Dinari moja ilikuwa kama mshahara wa kibarua wa siku moja; hivyo dinari 200 ni sawa na mshahara wa siku 200. ili tuwape watu hawa wale?”
Read all of Mark 6
Cross References
Matthew 15:23Lakini Yesu hakumjibu neno. Hivyo wanafunzi wake wakamwendea na kumsihi sana, wakisema, “Mwambie aende zake, kwa maana anaendelea kutupigia kelele.”
Mark 3:21Ndugu zake walipopata habari wakaja ili kumchukua kwa maana watu walikuwa wakisema, “Amerukwa na akili.”
This Verse In Other Editions
Study Mark 6:36