Mark 6:47
Ilipofika jioni, ile mashua ilikuwa imefika katikati ya bahari, na Yesu alikuwa peke yake katika nchi kavu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when even was come, the ship was in the midst of the sea, and he alone on the land.
In Context
46Baada ya kuwaaga wale watu, akaenda mlimani kuomba.
Cross References
John 6:16Ilipofika jioni, wanafunzi wake waliteremka kwenda baharini.