bible.software › Mark › Mark 6 › Mark 6:55
Mark 6:55
Wakaenda katika vijiji vyote upesi, wakawabeba wagonjwa kwenye mikeka ili kuwapeleka mahali popote waliposikia kuwa Yesu yupo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And ran through that whole region round about, and began to carry about in beds those that were sick, where they heard he was.
In Context
54Mara waliposhuka kutoka mashua yao, watu wakamtambua Yesu.
56Kila mahali Yesu alipokwenda, iwe vijijini, mijini au mashambani, watu waliwaweka wagonjwa wao masokoni. Wakamwomba awaruhusu hao wagonjwa waguse japo upindo wa vazi lake. Nao wote waliomgusa waliponywa.
Read all of Mark 6
Cross References
Mark 2:1Baada ya siku kadhaa Yesu alirudi Kapernaumu, watu wakasikia kwamba amerudi nyumbani.
This Verse In Other Editions
Study Mark 6:55