Mark 7:20
Akaendelea kusema, “Kile kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said, That which cometh out of the man, that defileth the man.
In Context
21Kwa maana kutoka ndani ya moyo wa mtu hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji, uzinzi,
Cross References
Psalms 41:6Kila anapokuja mtu kunitazama, 2 huzungumza uongo, 1 huku moyo wake hukusanya masingizio; 2 kisha huondoka na kuyasambaza huku na huko. 1
Matthew 12:34Enyi uzao wa nyoka! Mnawezaje kunena mambo mema, wakati ninyi ni waovu? Kwa maana kinywa cha mtu huyanena yale yaliyoujaza moyo wake.
Hebrews 7:6Huyu Melkizedeki, ingawa hakufuatia ukoo wake kutoka kwa Lawi, lakini alipokea sehemu ya kumi kutoka kwa Abrahamu na kumbariki yeye aliyekuwa na zile ahadi.
James 3:6Ulimi pia ni moto, ndio ulimwengu wa uovu kati ya viungo vya mwili. Ulimi huutia mwili wote wa mtu unajisi na kuuwasha moto mfumo mzima wa maisha yake, nao wenyewe huchomwa moto wa jehanamu.