Mark 7:26
Basi huyo mwanamke alikuwa Myunani, aliyezaliwa Foinike ya Siria. + 7:26 Kulikuwa na Foinike ya Siria (ndio Shamu) na Foinike ya Libya. Akamsihi Yesu amtoe binti yake huyo pepo mchafu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 49:12Tazama, watakuja kutoka mbali: 2 wengine kutoka kaskazini, wengine kutoka magharibi, 2 wengine kutoka nchi ya Sinimu.” + 49:12 Sinimu hapa ina maana ya Aswani. 1
Galatians 3:28Wala hakuna tena Myahudi au Myunani, mtumwa au mtu huru, mwanaume wala mwanamke, maana nyote mmekuwa wamoja ndani ya Kristo Yesu.