Mark 8:16
Wakajadiliana wao kwa wao, na kusema, “Anasema hivi kwa sababu hatukuleta mikate.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they reasoned among themselves, saying, It is because we have no bread.
In Context
15Yesu akawaonya: “Jihadharini na chachu ya Mafarisayo na ya Herode.”
Cross References
Luke 9:46Kukazuka mabishano miongoni mwa wanafunzi kuhusu ni nani miongoni mwao atakayekuwa mkuu kuliko wote.