Mark 8:2
“Ninauhurumia huu umati wa watu, kwa sababu sasa wamekuwa nami kwa muda wa siku tatu na hawana chakula.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Nikiwaaga waende nyumbani bila kula, watazimia njiani kwa sababu baadhi yao wametoka mbali.”
Cross References
Psalms 103:13Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake, 2 ndivyo Bwana anavyowahurumia wale wanaomcha; 1
Psalms 145:15Macho yao wote yanakutazama wewe, 2 nawe huwapa chakula chao wakati wake. 1
Matthew 4:2Baada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa.
Matthew 9:36Alipoona makutano, aliwahurumia kwa sababu walikuwa wanasumbuka bila msaada, kama kondoo wasiokuwa na mchungaji.
Matthew 20:34Yesu akawahurumia na kuwagusa macho yao. Mara macho yao yakapata kuona, nao wakamfuata.
Mark 5:19Yesu hakumruhusu, bali alimwambia, “Nenda nyumbani kwa jamaa yako ukawaeleze mambo makuu aliyokutendea Bwana, na jinsi alivyokuhurumia.”