Mark 8:21
Ndipo akawauliza, “Je, bado hamwelewi?” 1 Yesu Amponya Kipofu Huko Bethsaida
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said unto them, How is it that ye do not understand?
In Context
22Wakafika Bethsaida na baadhi ya watu wakamleta mtu mmoja kipofu wakamsihi Yesu amguse.
Cross References
Psalms 94:8Sikizeni, enyi wajinga miongoni mwa watu; 2 enyi wapumbavu, lini mtakuwa na hekima? 1
Mark 6:52kwa kuwa walikuwa hawajaelewa kuhusu ile mikate. Mioyo yao ilikuwa migumu.
Mark 8:17Yesu, akifahamu majadiliano yao, akawauliza: “Mbona mnajadiliana kuhusu kutokuwa na mikate? Je, bado hamtambui wala hamwelewi? Je, mbona mioyo yenu ni migumu kiasi hicho?
John 14:9Yesu akamjibu, “Filipo, nimekaa nanyi muda huu wote hata usinijue? Mtu yeyote aliyeniona mimi, amemwona Baba. Sasa wawezaje kusema, ‘Tuonyeshe Baba’?
1 Corinthians 15:34Zindukeni mwe na akili kama iwapasavyo, wala msitende dhambi tena; kwa maana watu wengine hawamjui Mungu. Nasema mambo haya ili mwone aibu. 1 Mwili Wa Ufufuo