Mark 8:23
Yesu akamshika mkono huyo kipofu akampeleka nje ya kijiji. Baada ya kuyatemea mate macho ya yule kipofu na kumwekea mikono, Yesu akamuuliza, “Unaona chochote?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Wakafika Bethsaida na baadhi ya watu wakamleta mtu mmoja kipofu wakamsihi Yesu amguse.
24Yule kipofu akaangalia, akasema, “Ninaona watu, wanaonekana kama miti inayotembea.”
Cross References
Isaiah 51:18Kati ya wana wote aliowazaa 2 hakuwepo hata mmoja wa kumwongoza, 1 kati ya wana wote aliowalea 2 hakuwepo hata mmoja wa kumshika mkono. 1
Mark 5:23akamsihi akisema, “Binti yangu mdogo ni mgonjwa mahututi. Tafadhali nakusihi, njoo uweke mikono yako juu yake ili apate kupona, naye atakuwa hai.”
John 9:6Baada ya kusema haya, akatema mate ardhini, akatengeneza tope kwa mate na kumpaka yule mtu kipofu machoni.
Acts 23:19Yule jemadari akamshika yule kijana mkono, akampeleka kando na kumuuliza, “Unataka kuniambia nini?”
Revelation 3:18Nakushauri ununue kutoka kwangu dhahabu iliyosafishwa kwa moto, ili upate kuwa tajiri, na mavazi meupe ili uyavae upate kuficha aibu ya uchi wako, na mafuta ya kupaka macho yako ili upate kuona.