Mark 9:16
Akawauliza wanafunzi wake, “Mnabishana nao kuhusu nini?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he asked the scribes, What question ye with them?
In Context
15Mara wale watu walipomwona Yesu, wakastaajabu sana, wakamkimbilia ili kumsalimu.
Cross References
Mark 8:11Mafarisayo wakaja, wakaanza kumhoji Yesu. Ili kumtega, wakamwomba awaonyeshe ishara kutoka mbinguni.