Mark 9:3
Mavazi yake yakawa na weupe wa kuzima macho, meupe kuliko ambavyo mtu yeyote duniani angaliweza kuyangʼarisha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And his raiment became shining, exceeding white as snow; so as no fuller on earth can white them.
In Context
4Mose na Eliya wakawatokea, wakawa wanazungumza na Yesu.
Cross References
Psalms 68:14Wakati Mwenyezi + 68:14 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. alipowatawanya wafalme katika nchi, 2 ilikuwa kama theluji iliyoanguka juu ya Salmoni. 1
Isaiah 1:18“Njooni basi tuhojiane,” 2 asema Bwana. 1 “Ingawa dhambi zenu ni kama rangi nyekundu, 2 zitakuwa nyeupe kama theluji; 1 ingawa ni nyekundu sana kama damu, 2 zitakuwa nyeupe kama sufu. 1
Malachi 3:2Lakini ni nani atakayeweza kustahimili hiyo siku ya kuja kwake? Ni nani awezaye kusimama atakapotokea? Kwa kuwa atakuwa kama moto wa mfua fedha au kama sabuni ya afuaye nguo.
Acts 10:30Kornelio akajibu, “Siku nne zilizopita, nilikuwa nyumbani nikisali saa kama hii, saa tisa alasiri. Ghafula mtu aliyevaa nguo zilizongʼaa akasimama mbele yangu,
Revelation 7:14Nikamjibu, “Bwana, wewe wajua.” Naye akasema, “Hawa ni wale waliotoka katika ile dhiki kuu, nao wamefua mavazi yao katika damu ya Mwana-Kondoo na kuyafanya meupe kabisa.