bible.software › Mark › Mark 9 › Mark 9:36
Mark 9:36
Kisha akamchukua mtoto mdogo, akamsimamisha katikati yao. Akamkumbatia, akawaambia,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he took a child, and set him in the midst of them: and when he had taken him in his arms, he said unto them,
In Context
35Akaketi chini, akawaita wote kumi na wawili, akawaambia: “Kama mtu yeyote akitaka kuwa wa kwanza, hana budi kuwa wa mwisho na mtumishi wa wote.”
37“Mtu yeyote amkaribishaye mmoja wa hawa watoto wadogo kwa Jina langu, anikaribisha mimi. Naye anikaribishaye mimi, amkaribisha Baba yangu aliyenituma.” 1 Yeyote Asiye Kinyume Nasi Yuko Upande Wetu (Luka 9:49-50)
Read all of Mark 9
Cross References
Matthew 18:2Yesu akamwita mtoto mdogo na kumsimamisha katikati yao.
Mark 10:16Akawachukua watoto mikononi mwake, akawakumbatia, akaweka mikono yake juu yao, akawabariki. 1 Kijana Tajiri (Mathayo 19:16-30; Luka 18:18-30)
This Verse In Other Editions
Study Mark 9:36