bible.software › Mark › Mark 9 › Mark 9:40
Mark 9:40
Kwa maana yeyote asiye kinyume chetu, yuko upande wetu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For he that is not against us is on our part.
In Context
39Yesu akasema, “Msimkataze, kwa kuwa hakuna yeyote atendaye miujiza kwa Jina langu ambaye baada ya kitambo kidogo aweza kunena lolote baya dhidi yangu.
41Amin, nawaambia, yeyote awapaye ninyi kikombe cha maji kwa Jina langu kwa sababu ninyi ni mali ya Kristo, hakika hataikosa thawabu yake.” 1 Kusababisha Kutenda Dhambi (Mathayo 18:6-9; Luka 17:1-2)
Read all of Mark 9
Cross References
Matthew 12:30“Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami, na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya.
This Verse In Other Editions
Study Mark 9:40