Mark 9:48
mahali ambako 1 “ ‘funza wake hawafi, 2 wala moto wake hauzimiki.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Where their worm dieth not, and the fire is not quenched.
In Context
49Kila mmoja atatiwa chumvi kwa moto.
Cross References
Isaiah 66:24“Nao watatoka nje na kuona maiti za wale walioniasi mimi. Funza wao hawatakufa, wala moto wao hautazimika, nao watakuwa kitu cha kuchukiza sana kwa wanadamu wote.”
Mark 9:43Kama mkono wako ukikusababisha kutenda dhambi, ukate. Ni afadhali kwako kuingia katika uzima ukiwa na mkono mmoja, kuliko kuwa na mikono miwili lakini ukaingia jehanamu, mahali ambako moto hauzimiki. [