Mark 9:50
“Chumvi ni nzuri, lakini ikipoteza ladha yake utaifanyaje ili iweze kukolea tena? Mwe na chumvi ndani yenu, mkaishi kwa amani, kila mmoja na mwenzake.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
49Kila mmoja atatiwa chumvi kwa moto.
Cross References
Job 6:6Je, chakula kisicho na ladha huliwa bila chumvi, 2 au upo utamu katika ute mweupe wa yai? 1
Psalms 133:1Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza 2 wakati ndugu wanapoishi pamoja katika umoja! 1
Mark 9:34Lakini hawakumjibu, kwa sababu njiani walikuwa wakibishana kuhusu nani miongoni mwao alikuwa mkuu zaidi ya wote.
John 13:34“Amri mpya nawapa: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi, vivyo hivyo nanyi mpendane.
Romans 12:18Kama ikiwezekana, kwa upande wenu kaeni kwa amani na watu wote.
2 Corinthians 13:11Hatimaye, ndugu zangu, kwaherini. Kuweni wakamilifu, mkafarijike, kuweni wa nia moja, kaeni kwa amani. Naye Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi.