Matthew 1:18
Basi Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi: Maria mama yake alikuwa ameposwa na Yosefu, lakini kabla hawajakutana kimwili, Maria alionekana kuwa na mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 3:15Nami nitaweka uadui 2 kati yako na huyo mwanamke, 2 na kati ya uzao wako na wake, 1 yeye atakuponda kichwa, 2 nawe utamuuma kisigino.”
Job 15:14“Mwanadamu ni kitu gani, hata aweze kuwa safi, 2 au yeye aliyezaliwa na mwanamke, hata aweze kuwa mwadilifu? 1
Luke 1:25Akasema, “Hili ndilo Bwana alilonitendea aliponiangalia kwa upendeleo na kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.” 1 Kuzaliwa Kwa Yesu Kwatabiriwa
Galatians 4:4Lakini ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe, ambaye alizaliwa na mwanamke, akazaliwa chini ya sheria,
Hebrews 10:5Kwa hiyo, Kristo alipokuja duniani, alisema: 1 “Dhabihu na sadaka hukuzitaka, 2 bali mwili uliniandalia; 1