Matthew 10:30
Hata nywele za vichwa vyenu zote zimehesabiwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But the very hairs of your head are all numbered.
In Context
31Hivyo msiogope; kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi.
Cross References
1 Samuel 14:45Lakini watu wakamwambia Sauli, “Je, Yonathani atakufa, yeye ambaye ameleta wokovu huu mkubwa Israeli? Hasha! Hakika kama Bwana aishivyo, hakuna hata unywele wa kichwa chake utakaoanguka juu ya ardhi, kwa kuwa alifanya jambo hili leo kwa msaada wa Mungu.” Basi watu wakamwokoa Yonathani, wala hakuuawa.
1 Kings 1:52Solomoni akajibu, “Kama akijionyesha kuwa mtu mstahiki, hakuna unywele wake utakaoanguka juu ya ardhi, lakini kama uovu ukionekana ndani yake, atakufa.”
Luke 21:18Lakini hapatakuwa na unywele mmoja wa kichwa chenu utakaoangamia.