Matthew 11:10
Huyu ndiye ambaye habari zake zimeandikwa: 1 “ ‘Tazama nitamtuma mjumbe wangu mbele yako, 2 atakayetengeneza njia mbele yako.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Basi mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona nabii? Naam, nawaambia, yeye ni zaidi ya nabii.
Cross References
Isaiah 40:3Sauti ya mtu aliaye: 2 “Itengenezeni jangwani njia ya Bwana, 1 nyoosheni njia kuu nyikani 2 kwa ajili ya Mungu wetu. 1
Malachi 4:5“Tazama, nitawapelekea nabii Eliya kabla ya kuja siku ile iliyo kuu na ya kutisha ya Bwana.
Mark 1:2Kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: 1 “Tazama, nitamtuma mjumbe wangu mbele yako, 2 atakayetengeneza njia mbele yako”: 1
John 1:23Akawajibu kwa maneno ya nabii Isaya, akisema, “Mimi ni sauti ya mtu aliaye nyikani, ‘Yanyoosheni mapito ya Bwana.’ ”