The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 12 › Mathayo 12:35

Mathayo 12:35

Mtu mwema hutoa yaliyo mema kutoka hazina ya mambo mema yaliyohifadhiwa ndani yake, naye mtu mwovu hutoa yaliyo maovu kutoka hazina ya mambo maovu yaliyohifadhiwa ndani yake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A good man out of the good treasure of the heart bringeth forth good things: and an evil man out of the evil treasure bringeth forth evil things.

In Context

34Enyi uzao wa nyoka! Mnawezaje kunena mambo mema, wakati ninyi ni waovu? Kwa maana kinywa cha mtu huyanena yale yaliyoujaza moyo wake.

36Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa hesabu kuhusu kila neno lisilo maana walilonena.

Read all of Mathayo 12

Cross References

Psalms 37:30Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima, 2 nao ulimi wake huzungumza lililo haki. 1

Proverbs 12:6Maneno ya waovu huotea kumwaga damu, 2 bali maneno ya waadilifu huwaokoa. 1

Proverbs 15:4Ulimi uletao uponyaji ni mti wa uzima, 2 bali ulimi udanganyao huponda roho. 1

Proverbs 15:28Moyo wa mwenye haki hupima majibu yake, 2 bali kinywa cha mwovu hufoka ubaya. 1

Proverbs 25:11Neno lisemwalo kwa wakati ufaao 2 ni kama matunda ya mtofaa ya dhahabu 2 yaliyowekwa kwenye vijalizo vya fedha. 1

Matthew 13:52Akawaambia, “Basi kila mwalimu wa sheria aliyefundishwa elimu ya Ufalme wa Mbinguni ni kama mwenye nyumba anayetoa kutoka ghala yake mali mpya na mali ya zamani.” 1 Yesu Akataliwa Nazareti (Marko 6:1-6; Luka 4:16-30)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 12:35

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 12:34Mathayo 12Mathayo 12:36 →